Spurs Wachomoka Na Sare Ugenini Dhidi Ya Juventus, Mousa Dembele ‘Man Of The Match’

Timu ya Tottenham hapo jana imefanikiwa kuchomoka na sare ya mabao 2 – 2 baada ya kubanwa mbavu ikiwa ugenini dhidi ya Juventus michuano...


Timu ya Tottenham hapo jana imefanikiwa kuchomoka na sare ya mabao 2 – 2 baada ya kubanwa mbavu ikiwa ugenini dhidi ya Juventus michuano ya klabu bingwa barani Ulaya.

Mchezaji hatari wa Juventus,Gonzalo Higuain aliiyandikia timu yake mabao mawili katika dakika 45 za kipindi cha kwanza kabla Spurs kuanza kurudisha kupitia kwa mshambuliaji wake hatari Harry Kane na lapili la kusawazisha likifungwa na Eriksen dakika za lala salama.

Kikosi cha Juventus: Buffon (6), De Sciglio (7), Benatia (7), Chiellini (7), Sandro (6), Costa (7), Pjanic (8), Khedira (6), Mandzukic (7), Higuain (8), Bernadeschi (7)
Waliyokuwa benchi: Sturaro (5), Bentacur (5)
Kikosi cha Tottenham: Lloris (7), Aurier (6), Sanchez (7), Vertonghen (7), Davies (6), Dembele (8), Dier (6), Eriksen (8), Alli (7), Lamela (8), Kane (8)
Wachezaji waliyoanzia benchi: Lucas (5), Son (5), Wanyama (5)


Mchezaji bora wa mechi hiyo alikuwa ni Mousa Dembele

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Spurs Wachomoka Na Sare Ugenini Dhidi Ya Juventus, Mousa Dembele ‘Man Of The Match’
Spurs Wachomoka Na Sare Ugenini Dhidi Ya Juventus, Mousa Dembele ‘Man Of The Match’
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKcx9n0AgQoVbg3LRqCCgpbJ-JcEYdvP12peGiRARCNS7UqF37MwjCQC4gpB91ETHEY2A3V_VMfa4inI9X0aaNrsSUMYaI2mdZPrNGERqyF-NTmRW2TVtSy2RGkE2qqr4FiGf1AYklZ9tt/s640/timu.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKcx9n0AgQoVbg3LRqCCgpbJ-JcEYdvP12peGiRARCNS7UqF37MwjCQC4gpB91ETHEY2A3V_VMfa4inI9X0aaNrsSUMYaI2mdZPrNGERqyF-NTmRW2TVtSy2RGkE2qqr4FiGf1AYklZ9tt/s72-c/timu.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/spurs-wachomoka-na-sare-ugenini-dhidi.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/spurs-wachomoka-na-sare-ugenini-dhidi.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy