Sugu Kaniambia Niwaambie Msiogope – Professor Jay

Baada ya Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule (Professor Jay) kwenda Mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbunge wa Mbeya Mjini, J...


Baada ya Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule (Professor Jay) kwenda Mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), Mbunge huyo amesema kuwa Sugu amesema kuwa wasiogope waendelee kupaza sauti.

Professor Jay amesema kuwa kesi hiyo itaendelea kusikilizwa leo ambapo RCO na RPC wa Mbeya watasimama kutoa ushahidi wao.

SUGU kaniambia niwaambie ‘MSIOGOPE’ bali endeleeni kupaza Sauti!!Kesi yao inaendelea leo saa Tatu asubuhi hii katika mahakama kuu ya Mbeya, ambapo RCO na RPC wa Mbeya watasimama kutoa ushahidi wao LEO,” ameandika Proffesor Jay kwenye ukurasa wake wa Insta.

Sugu anakabiliwa na kesi ya kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais Magufuli. Ambayo wanadaiwa kuitoa Disemba 30 kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Mwenge.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Sugu Kaniambia Niwaambie Msiogope – Professor Jay
Sugu Kaniambia Niwaambie Msiogope – Professor Jay
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDqDhi0FHdTW0LL0PluighS2TVMI_VhZK5Fp9LAl2FU7kt-WGpvJdpK4LjZoU8oqFiE-_rTVSDpx0MpK3V_kZ7TxSWiEzyHSurkd_VKy6rXFKelgEnrxROAq-6mWXkuOSbRu6hvQDw6cLy/s640/o.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDqDhi0FHdTW0LL0PluighS2TVMI_VhZK5Fp9LAl2FU7kt-WGpvJdpK4LjZoU8oqFiE-_rTVSDpx0MpK3V_kZ7TxSWiEzyHSurkd_VKy6rXFKelgEnrxROAq-6mWXkuOSbRu6hvQDw6cLy/s72-c/o.png
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sugu-kaniambia-niwaambie-msiogope.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sugu-kaniambia-niwaambie-msiogope.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy