Tambwe Hiza kuzikwa Leo, Makaburi ya Chang’ombe, Temeke, Dar es Salaam

MWILI wa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe’ aliyefariki dunia juzi...


MWILI wa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe’ aliyefariki dunia juzi asubuhi nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi katika Makaburi ya Temeke Chang’ombe jijini Dar es Salaam.

Kaka wa marehemu aitwaye Charles Tamilway amesema kuwa taratibu za kuuhifadhi mwili wa kaka yake katika nyumba yake ya milele zipo zimekamilika mwili huo utahifadhiwa leo Jumamosi mchana katika makaburi ya Chang’ombe maduka mawili, Dar es Salaam.

Naye mjane wa marehemu, Mariamu Masoud, alisema mume wake hakubahatika hata kufika hospitali kupata matibabu ya kuokoa maisha yake baada ya kuugua ghafla, hivyo anamuomba mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mumewe mahali pema peponi.


Hizza anafahamika sana kwa siasa zake akiwa Chama cha Wananchi (CUF), baadaye akahamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo alikuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Propaganda wa chama hicho na mwaka 2015 aliamua kuondoka CCM na kuhamia CHADEMA.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Tambwe Hiza kuzikwa Leo, Makaburi ya Chang’ombe, Temeke, Dar es Salaam
Tambwe Hiza kuzikwa Leo, Makaburi ya Chang’ombe, Temeke, Dar es Salaam
https://4.bp.blogspot.com/-4Yh9gXq8Vk8/Wn6gZvXJgyI/AAAAAAAABmQ/EhxMPTfil7we75hFlNLoDXXSLSvZaRK7ACLcBGAs/s640/Tambwe%2BHiza.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-4Yh9gXq8Vk8/Wn6gZvXJgyI/AAAAAAAABmQ/EhxMPTfil7we75hFlNLoDXXSLSvZaRK7ACLcBGAs/s72-c/Tambwe%2BHiza.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/tambwe-hiza-kuzikwa-leo-makaburi-ya.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/tambwe-hiza-kuzikwa-leo-makaburi-ya.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy