Tangu Nimekuwa Maarufu Sijawahi Kuachwa – Idris Sultan

Muigizaji Idris Sultan amedai tangu alipokuwa maarufu hajawahi kuachwa katika mahusiano. Idris amesema ingawa si kitu ambacho anaweza k...


Muigizaji Idris Sultan amedai tangu alipokuwa maarufu hajawahi kuachwa katika mahusiano.

Idris amesema ingawa si kitu ambacho anaweza kujivunia ila kinatokana na msimamo wake katika mahusiano.

“Tangu nimekuwa maarufu sijawahi kuachwa ila kabla sijawa maarufu nimewahi kuachwa mara tatu and am not proud kusema walirudi na sikukubali kwa sababu nina msimamo, huwaga sisemi it’s over kwenye relationship huwa naiacha, nikisema it’s over, utuje it’s,” Idris ameiambia EATV.


Umaarufu mkubwa wa Idriss ilikuwa mara baada ya kushinda katika shindano la Big Brother Africa mwaka 2014 na kuweza kujinyakulia kitita cha $300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 514 za Tanzania.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Tangu Nimekuwa Maarufu Sijawahi Kuachwa – Idris Sultan
Tangu Nimekuwa Maarufu Sijawahi Kuachwa – Idris Sultan
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwjLcZYtVXs-5h5PeTB-I1BUmT18DaSKrSAaTNZ3P-6cRZt-Olq0WDRS0oW7GKzoHpy9wXYdksKyR9f-4cOhmN-YBTJOu9kZlUAHwqx1x6frmYoTGv258j13d1aIIKkXPP91Si_pFDW6HU/s640/idr.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwjLcZYtVXs-5h5PeTB-I1BUmT18DaSKrSAaTNZ3P-6cRZt-Olq0WDRS0oW7GKzoHpy9wXYdksKyR9f-4cOhmN-YBTJOu9kZlUAHwqx1x6frmYoTGv258j13d1aIIKkXPP91Si_pFDW6HU/s72-c/idr.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/tangu-nimekuwa-maarufu-sijawahi-kuachwa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/tangu-nimekuwa-maarufu-sijawahi-kuachwa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy