Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno ametangaza dili nono kwa mashabiki wake wote barani Afrika ambao watakuwa na vigezo anavy...
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno ametangaza dili nono kwa mashabiki wake wote barani Afrika ambao watakuwa na vigezo anavyovihitaji.
Tekno amesema kuwa anahitaji Mwanamitindo/Model ambao atawatumia kwenye video yake mpya.
Kama unajiona una vigezo fuata maelekezo haya yafuatayo ili uweze kupata shavu la kutokea kwenye kichupa hicho, Andika hashtag ya #yourlovethevideo kisha posti video kwenye mitandao ya kijamii na usisahau kum-mention jina lake.
Teknoofficial Looking for a model, for my next music video! Pls Use this hashtag #yourlovethevideo on a new post if u are interested! Let’s find a beauty for This beast! #hit London, EastAfrica, WestAfrica, EU, Southafrica, #allAfrica
COMMENTS