Tohara kwa wanaume kupigwa marufuku

Wakati Serikali ya Tanzania na nchi nyingine barani Afrika zikihimiza ulazima wa tohara kwa wanaume, hii ni tofauti kabisa na nchi ya ...


Wakati Serikali ya Tanzania na nchi nyingine barani Afrika zikihimiza ulazima wa tohara kwa wanaume, hii ni tofauti kabisa na nchi ya Iceland ambapo limetangaza kupiga marufuku tohara kwa wanaume na kuwa taifa la kwanza barani Ulaya kufanya hivyo.

Hata hivyo mvutano wa kupitisha muswada huo bado unajadiliwa bungeni huku kukiwa na mvutano wa kidini kati ya Wayahudi na Waislamu ambao ndio wachache kwenye bunge hilo.
Kwa mujibu wa gazeti la Times Of Israel limeeleza kuwa Muswada huo unaojadiliwa na Bunge la Iceland unapendekeza kwa mtu yeyote atakayekutwa amefanyiwa tohara afungwe hadi miaka sita jela la sivyo awe na sababu maalumu za kufanyiwa tohara.

Kwa upande mwingine Wanaharakati na Wanadiplomasia duniani wamesema kuwa hatua hiyo itazua hisia kali kwa viongozi wa kidini barani Ulaya huku wakieleza kuwa Wayahudi na Waislamu ambao ni zaidi ya 2,000+ nchini Iceland watakuwa katika hali ngumu ya maisha.
Wabunge wengi wanaounga mkono muswada huo Muswada huo wanasema kuwa tohara ya wavulana wadogo inakiuka haki yao ya kibinaadamu na ni kinyume na azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya mtoto.

Ingawaje kwenye muswada huo kuna kipengele kinachoruhusu mwanaume kufanyiwa tohara kwa sababu za kidini au afya kwa masharti ya hadi afikie miaka 18, Waislamu na Wayahudi wanapinga vikali hatua hiyo kwani inakiuka tamaduni yao ya kuwafanyia tohara watoto wadogo.
Chanzo:The Guardian & Times Of Israel

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Tohara kwa wanaume kupigwa marufuku
Tohara kwa wanaume kupigwa marufuku
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-RR2crUUcpf2fSRy4KJUPxuD2nYv3hpCxdtkzDfMtpDbGDOFUoG584uEagzJdfWK-cx0b_TCzLYRyYCheD33qcyW-FgJjVfHjh3KhTocaZZvpFuVGHZXeVr5SuQ4IV2BPpHjwAgOC3AMg/s640/tohala.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-RR2crUUcpf2fSRy4KJUPxuD2nYv3hpCxdtkzDfMtpDbGDOFUoG584uEagzJdfWK-cx0b_TCzLYRyYCheD33qcyW-FgJjVfHjh3KhTocaZZvpFuVGHZXeVr5SuQ4IV2BPpHjwAgOC3AMg/s72-c/tohala.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/tohara-kwa-wanaume-kupigwa-marufuku.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/tohara-kwa-wanaume-kupigwa-marufuku.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy