TRA: Kakobe anakwepa kodi na anahifadhi pesa kwenye majaba ya ndoo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebaini mambo matano baada ya kumchunguza Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Followship (FG...


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebaini mambo matano baada ya kumchunguza Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Followship (FGBF), Zachary Kakobe, ikiwemo kukwepa kodi na kuhifadhi mabilioni ya fedha katika majaba na ndoo.

Taarifa iliyotolewa leo Februari 20 na Kamishna Mkuu wa mamlaka hiyo, Charles Kichere pia imesema Kakobe alimuandikia barua Rais John Magufuli kutokana na matamshi yake kwamba ana fedha nyingi kuliko Serikali, kumuomba radhi.

Mambo yaliyobainika baada ya kufanyika kwa uchunguzi huo
Imesema Askofu huyo hana akaunti wala fedha katika taasisi ya fedha hapa nchini. Aidha uchunguzi ulibaini kuwa Askofu Kakobe ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa akaunti za kanisa zilizopo katika benki ya NBC zenye jumla ya kiasi cha Sh8.2bilioni, kiasi hiki cha fedha kimetokana na sadaka, zaka na changizo ambazo zinatolewa na waumini wa kanisa tajwa hapo juu, hivyo kwa mujibu wa sheria hakitozwi kodi.

Kampuni inayomilikiwa na watoto wa Askofu Kakobe ilikwepa kulipa kodi ya Sh37.2 ambazo zimelipwa baada ya uchunguzi. Kwa ujumla kiasi kilicholipwa kutokana na uchunguzi ni Sh58.1milioni.
Kanisa linatunza kiasi kikubwa cha fedha kwenda ndoo na ‘majaba’ kinyume na taratibu za utunzaji fedha.

Kanisa halitengenezi hesabu za mapato na matumizi ya fedha kitu ambacho ni kinyume na katiba ya kanisa na sheria ya usimamizi wa fedha ambayo imepelekea matumizi mabaya ya fedha za waumini kama vile safari za nje ya nchi ambazo zimedhaminiwa na kanisa lakini wanaosafiri ni Askofu na familia yake.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: TRA: Kakobe anakwepa kodi na anahifadhi pesa kwenye majaba ya ndoo
TRA: Kakobe anakwepa kodi na anahifadhi pesa kwenye majaba ya ndoo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjksmqSeYLbt36vDlBCUBcXfzOv9fmYQZgvdXkIgrcuxFBMsI39uJ2D-AnU5n1uCq-8GLqzYlNPKHEx8FFRNl_mZBSotHVYBuZ0tYeFegXFnf8HZnUKgBbgPd1kVMQNFnwgWxvfMq-kdbdG/s640/KAKOBE-2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjksmqSeYLbt36vDlBCUBcXfzOv9fmYQZgvdXkIgrcuxFBMsI39uJ2D-AnU5n1uCq-8GLqzYlNPKHEx8FFRNl_mZBSotHVYBuZ0tYeFegXFnf8HZnUKgBbgPd1kVMQNFnwgWxvfMq-kdbdG/s72-c/KAKOBE-2.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/tra-kakobe-anakwepa-kodi-na-anahifadhi.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/tra-kakobe-anakwepa-kodi-na-anahifadhi.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy