Utastaajabu Fedha Anayotumia Mayweather Kubadilisha Oil Ya Gari Yake

Yaani ukitaka kumiliki vitu vizuri basi lazima ujipange kuvitunza na hii inadhihirishwa na Mwanamasumbwi, Floyd Mayweather ambaye ni moj...


Yaani ukitaka kumiliki vitu vizuri basi lazima ujipange kuvitunza na hii inadhihirishwa na Mwanamasumbwi, Floyd Mayweather ambaye ni moja ya wanamichezo wanaomiliki magari ya kifahari duniani.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu anayemuuzia magari ya kifahari Mayweather aitwaye Obi Okeke kupitia mtandao wa TMZ amesema Mayweather anatumia dola $25,000 ambayo ni sawa na Tsh milioni 56 kila mwezi kubadilisha oil ya gari lake moja aina ya Bugatti Veyron.

Okeke amesema gari hiyo ambayo ndio gari yake ya thamani zaidi amelinunua kwa Dola milioni 3.3 sawa na Tsh bilioni 7 .

Mwezi Januari mwaka huu Mayweather alitumia zaidi ya milioni 100 kufanyia matengenezo Bugatti yake.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Utastaajabu Fedha Anayotumia Mayweather Kubadilisha Oil Ya Gari Yake
Utastaajabu Fedha Anayotumia Mayweather Kubadilisha Oil Ya Gari Yake
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrraituMRb82GuHhvPZWydbBeE_gY3zQewZX6dEjPcJrq6E8pqBJTC3n0NgFhYx6WJ_gHwYQFPCWfBzt52DtjgHx9JvA3Fo9V7yHMxvxR4OJWNLgHg09tv_iUOpMlQ4he0TAHfZoERSzgM/s640/floyd-mayweather-bugatti-veyron-vitesse-680x324.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrraituMRb82GuHhvPZWydbBeE_gY3zQewZX6dEjPcJrq6E8pqBJTC3n0NgFhYx6WJ_gHwYQFPCWfBzt52DtjgHx9JvA3Fo9V7yHMxvxR4OJWNLgHg09tv_iUOpMlQ4he0TAHfZoERSzgM/s72-c/floyd-mayweather-bugatti-veyron-vitesse-680x324.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/utastaajabu-fedha-anayotumia-mayweather.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/utastaajabu-fedha-anayotumia-mayweather.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy