Irene Uwoya STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo Muvi, Irene Uwoya amesema kuwa ameamua kubadilisha mfumo wa maisha yake hivyo mashabi...
Irene Uwoya
Akizungumza na Star Mix, Uwoya alisema kuwa hakuna kitu kizuri katika maisha ya mwanadamu kama kubadilisha mfumo wa maisha ambao ameuzoea na kwenda kwenye mfumo mwingine.
“Huwezi kuikuta tabia yangu ya zamani, nimebadilisha kila kitu kwenye mfumo wa maisha yangu yaani hapa mimi ni Uwoya mpya kabisa,”alisema Uwoya.
COMMENTS