Vera Sidika Ajibu Swali Lililokuwa Linawaumiza Mashabiki

Vera Sidika ameweka wazi mahusiano yake na njemba ambaye amekuwa akimpost mara kwa mara kwenye mitandao yake ya kijamii. Mrembo huyo...


Vera Sidika ameweka wazi mahusiano yake na njemba ambaye amekuwa akimpost mara kwa mara kwenye mitandao yake ya kijamii.


Mrembo huyo kutoka Kenya, amekuwa akiibua maswli mengi kwa mashabiki kuhusu picha anazopiga na jamaa huyo.

Lakini jumatano hii ikiwa ni sikukuu ya Valentine’s Day, Vera ameonyesha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jamaa huyo mwenye asili ya kizungu baada ya kuachana na ex wake raia wa Nigeria.


“Happy Valentine’s Day from my BFF & I,” ameandika Vera kwenye picha hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye mtandao huo.

Hizi ni picha nyingine ambazo Vera amewahi kupost akiwa na mzungu huyo.



COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Vera Sidika Ajibu Swali Lililokuwa Linawaumiza Mashabiki
Vera Sidika Ajibu Swali Lililokuwa Linawaumiza Mashabiki
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh37F9g1xPwAim6GuDLb_VFlndCCSWPAwLYNucGaxCdX_winKMbmlduebv2JfiFew-fO4O5P5ET0apzk6ylusJA9yUnr4dGiBlVvu6yfIQYalPmFn_6lLSZpTdd70oHbvHLZVnfsCsqZykX/s640/vela+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh37F9g1xPwAim6GuDLb_VFlndCCSWPAwLYNucGaxCdX_winKMbmlduebv2JfiFew-fO4O5P5ET0apzk6ylusJA9yUnr4dGiBlVvu6yfIQYalPmFn_6lLSZpTdd70oHbvHLZVnfsCsqZykX/s72-c/vela+1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/vera-sidika-ajibu-swali-lililokuwa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/vera-sidika-ajibu-swali-lililokuwa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy