Viongozi Wa Upinzani Wapokonywa Hati Za kusafiria Na Maafisa Uhamiaji

Viongozi 14 wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA) wamepokonywa hati zao za kusafiria (Passport) na Idara ya Uhamiaji. Viongozi hao ...


Viongozi 14 wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA) wamepokonywa hati zao za kusafiria (Passport) na Idara ya Uhamiaji.

Viongozi hao ni pamoja na Gavana wa Kaunti ya Mombasa, Hassan Ali Joho na viongozi wengine ni Mfanyabiashara Jimmy Wanjigi, James Orengo, David Ndii na baadhi ya makada wa NASA.

Bado serikali haijatoa sababu ya kushikilia passport hizo lakini Vyombo vya Habari nchini humo vimehusisha tukio hilo na sababu za kisiasa.


Wakati hayo yakijiri jana Februari 7, 2018 wafuasi wa NASA waliandamana kushinikiza serikali kumrudisha nchini Kenya mwanaharakati, Miguna Miguna ambaye amefukuzwa nchini humo kwa kuhudhuria siku ya kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Viongozi Wa Upinzani Wapokonywa Hati Za kusafiria Na Maafisa Uhamiaji
Viongozi Wa Upinzani Wapokonywa Hati Za kusafiria Na Maafisa Uhamiaji
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyOd6HSnxkmTdgsWdhsxhmfMpnT9XW3Jz8eybevcmM_W-naw4h6Wprie0X2xpGwoPEEP3kflalyOrouYrOmtYJFCt-S5o2pd4-rMhkEWHDfSUu_OA6FuzVIGy6hMmnJhSTAxx65EDpeU-Z/s1600/Capture-19.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyOd6HSnxkmTdgsWdhsxhmfMpnT9XW3Jz8eybevcmM_W-naw4h6Wprie0X2xpGwoPEEP3kflalyOrouYrOmtYJFCt-S5o2pd4-rMhkEWHDfSUu_OA6FuzVIGy6hMmnJhSTAxx65EDpeU-Z/s72-c/Capture-19.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/viongozi-wa-upinzani-wapokonywa-hati-za.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/viongozi-wa-upinzani-wapokonywa-hati-za.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy