Wahalifu Waendelee Kuwa Na Hofu – Kamanda Wa Polisi Kinondoni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Jumanne Muliro amesema kuwa hali ya ulinzi na usalama katika uchaguzi unaoendelea Kinondoni uko ima...


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Jumanne Muliro amesema kuwa hali ya ulinzi na usalama katika uchaguzi unaoendelea Kinondoni uko imara.

Akizungumza muda huu Kamanda Muliro amesema kuwa wale wote wenye haki ya kupiga kura wanafurahia hali ya usalama huku akieleza kuwa hakuna anae watisha bali ni haki yao Kikatiba.
Hata hivyo Kamanda wa Polisi alipoulizwa wingi wa askari katika vituo hauwezi kuwa letea wananchi nchi hofu? Kamanda Muliro amesema kuwa watu wanaotishika ni watu ambao sio wema huku akieleza kuwa watu walio wema wanatamani askari waongezeke zaidi ya hapo.

Aliongeza kuwa wahalifu waendelee kuwa na hofu huku akiwataka watu wema kuendelea kufuahia ulinzi na usalama.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Wahalifu Waendelee Kuwa Na Hofu – Kamanda Wa Polisi Kinondoni
Wahalifu Waendelee Kuwa Na Hofu – Kamanda Wa Polisi Kinondoni
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisUFG38BVUO4-gw4dhrfRJJ5fq9d9ky_YyC2s1sGoqSj2iAb00VkrFJweJ5ZjHIGYqR0rlmXdOD4getjXvfqvYkQ9KMuPKvk4lPwaYnRBUjtG1JSGv0GPVUiHPs1Lrm3a4rkzOxN7YGYa-/s640/waalifu.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisUFG38BVUO4-gw4dhrfRJJ5fq9d9ky_YyC2s1sGoqSj2iAb00VkrFJweJ5ZjHIGYqR0rlmXdOD4getjXvfqvYkQ9KMuPKvk4lPwaYnRBUjtG1JSGv0GPVUiHPs1Lrm3a4rkzOxN7YGYa-/s72-c/waalifu.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/wahalifu-waendelee-kuwa-na-hofu-kamanda.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/wahalifu-waendelee-kuwa-na-hofu-kamanda.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy