Kufuatia tukio hilo Wasanii na watu mashuhuri nchini Tanzania wamempongeza AY kwa kukamilisha tukio hilo tukufu. PROFESSOR JAY: profe...
Kufuatia tukio hilo Wasanii na watu mashuhuri nchini Tanzania wamempongeza AY kwa kukamilisha tukio hilo tukufu.
PROFESSOR JAY:
- professorjaytzHongera sana Mdogo wangu @aytanzania na mkeo @remyrwanda kwa
hatua hii muhimu ya Kufunga Pingu za Maisha, Mungu awasimamie na
awabariki zaidi na zaidi muwe na maisha Mema yenye furaha na baraka tele
@fundifrank @moshiiri Wakujipekecha mmetisha sana
- diamondplatnumzSuper Congrats Legend…. Mwenyez Mungu Awajalie Ndoa Yenye Furaha, Amani na Baraka tele @aytanzania
- mwanafamy brother @aytanzania ,karibu kwenye hili timu la watu wazima wenzio..Mungu awabariki wewe na shemeji wa Taifa @remyrwanda kwenye muunganiko wenu huu..Godspeed my G.
Ila Rwanda hapana aisee,hapana / photo by @mxcarter
- bdozenHongera Sana Toyoyo @aytanzaniaMwenyezi awaongoze kwenye hili we Na #Remy! Na nawaombea Ndoa idumu Milele!!!
COMMENTS