Yanga wakiendelea na mazoezi yao. WAKATI wakiwa wanajiandaa kuvaana na Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa kl...
Yanga wakiendelea na mazoezi yao.
Timu hiyo inakuja nchini kucheza na Yanga Febrauri 11, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Meneja wa St Louis, Davis Khan aliidai kuwa; “Kucheza michuano hii wakati ligi yetu imeisha kunachangia sisi kufanya vibaya tena ukiangalia wapinzani wetu wao wanaendelea kucheza na wanashinda katika michezo yao migumu.”
St Louis ya Shelisheli
St Louis watacheza na Yanga kwenye michuano hiyo baada ya kuwa mabingwa wa Ligi ya Shelisheli ambayo ilimalizika mwezi Novemba mwaka jana
COMMENTS