Waziri Mwakyembe aanika ratiba ya rais wa FIFA nchini

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amethibitisha kuwa Rais wa Shirikisho la soka duniani (FIFA), Gianni...


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amethibitisha kuwa Rais wa Shirikisho la soka duniani (FIFA), Gianni Infantino anatarajiwa kuwasili nchini alfajiri ya Februari 22 kwaajili ya mkutano mkuu wa mwaka wa FIFA.

Baada ya kuwa hapa nchini, Infantino ataonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli.

Waziri Mwakyembe ameeleza kuwa Rais wa FIFA anatarajia kuwasili nchini usiku wa saa nane kuamkia Februari, 22  mwaka huu 2018 ambayo ndiyo siku ya mkutano na saa tatu asubuhi yake ataelekea Ikulu kukutana na viongozi wakuu wa nchi.

Huku Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wilfred Kidao akisema mkutano huu wa viongozi wa FIFA na CAF umebeba ajenda mbalimbali  ikiwemo kujadili Maendeleo ya Soka la Wanawake, Maendeleo ya Soka la Vijana, Utaratibu wa kusaidia Vilabu vya soka pamoja na vipaumbele mbalimbali vya kukuza soka kwa nchi za Afrika.


Infantino anatarajiwa kuondoka nchini mara baada ya kumaliza mkutano wake na kushiriki chakula cha jioni.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Waziri Mwakyembe aanika ratiba ya rais wa FIFA nchini
Waziri Mwakyembe aanika ratiba ya rais wa FIFA nchini
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4Gw8wy3VDrAeJtr8_wG9n2_Z4qD-tdA5nNZnVXSXkFV-JDYNJjcWKtrELdx_vGSRjZ0rOxdylVDyyDl1JTaOxOrAZseMWeWoDIsXAk1ZHg29ThbEluZ4RupoHz-lI-NTqRPFF0m1HfFxE/s640/raisiiii.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4Gw8wy3VDrAeJtr8_wG9n2_Z4qD-tdA5nNZnVXSXkFV-JDYNJjcWKtrELdx_vGSRjZ0rOxdylVDyyDl1JTaOxOrAZseMWeWoDIsXAk1ZHg29ThbEluZ4RupoHz-lI-NTqRPFF0m1HfFxE/s72-c/raisiiii.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/waziri-mwakyembe-aanika-ratiba-ya-rais.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/waziri-mwakyembe-aanika-ratiba-ya-rais.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy