Witness Adai Ameombwa Rushwa Ya Ngono Ili Ngoma Zake Zichezwe

Msanii wa muziki, Witnes aka Kibonge Mwepesi amefunguka kwa kudai kwamba kuna baadhi ya wadau wa media wamemuomba rushwa na ngono ili wa...


Msanii wa muziki, Witnes aka Kibonge Mwepesi amefunguka kwa kudai kwamba kuna baadhi ya wadau wa media wamemuomba rushwa na ngono ili wacheze ngoma zake.

Rapper huyo wa kike amedai kwa sasa ngoma zake hazichezwi kwenye kituo hicho cha redio kwa madai alitaliwa kutoa rushwa ya ngono.
Witnes ameanda ujumbe huu…

Hivi ku*anyoko zenu, hivi mnadhani k*m* yangu ni kifuu cha nazi kwamba kila anayetaka nimpe akune kisha tui aungie chakula anachotaka? 
Kwa taarifa yenu nimeshtukia siku nyingi mno, na ninajua huwa mnakaa mkinizungumzia na kuwekeana madau ya nani atanivunja na hamnipati,kiasi mmeamua kutopiga ngoma zangu bila sababu na ni muda sana mpaka yamenifika kooni nimewachoka na nimeamua kuvunja ukimya so kama mtapiga ngoma zangu kwa kuwa ninakipaji ninashukuru na wale mnaozipiga ninawashukuru na msiposikia ngoma zangu zinapigwa kwenye vituo flani basi mjue rasmi sababu ni sehemu zangu za siri na sizitoi ng’o kisa redio au mtu wa redio au tv azipige, jamani nitawapa watu wa redio wangapi na wa tv wangapi? Na tuna maredio mangapi? Mapresenter na madj wangapi? Hivi nikiwapa hawa wote k yangu si itabaki kama kasha la kiberiti lililoshiwa njiti? Mbali na hapo wote waliolala na ninyi na mkawatangazia kuwafanyia promo wapo wapi? 
Na wamepata faida gani Zaidi ya fedheha? na zaidi ya kuwa avoid na kuwaona ma malaya tu, mliopiga piga mwisho mkawatelekeza? Na leo hii wanashindwa kulalamika coz mmejikusanya kuwasema kwenye vikao vyenu vya pombe full kuwasema vibaya na kuwaponda, mkipewa k*m* shida msipopewa tatizo basi mimi ndo sitoi kama kipaji changu alinipa mwenyez mungu na kipo vizuri na kina level nzuri kinatambulika hadi kwenye nyanja za kimataifa who are you to want to sleep with mesimply because of the gift given to me by almighty god msipozigonga ngoma zangu mashabiki zangu watazionea youtube 
#witneszkibongemwepec na hata wakiwa mashabiki wawili roho yangu inasuuzika mno coz wawili siku moja watakuwa milioni mbili, na ninaahidi ya kwamba mimi sikati tamaa na nitafanya vizuri tu in one way or another, ila si kwa kugawa uchi wangu hili ni #TANGAZO msipige ngoma zangu hivyo hivyo sijali ila mkitaka kucheza na uchi wangu ninajali its sacred and not a toilet sit! 
Mnanitengenezea mazingira magumu but I wont give in mtasubiri sana, coz mlango mmoja ukifunga mingine saba hufunguka Ameeen!

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Witness Adai Ameombwa Rushwa Ya Ngono Ili Ngoma Zake Zichezwe
Witness Adai Ameombwa Rushwa Ya Ngono Ili Ngoma Zake Zichezwe
https://3.bp.blogspot.com/-GrMHMw7fTIk/Wn6kAWU2azI/AAAAAAAABnM/gRviruzGJRsSwRjWPvU0tzu_uKliejShQCLcBGAs/s640/noma.png
https://3.bp.blogspot.com/-GrMHMw7fTIk/Wn6kAWU2azI/AAAAAAAABnM/gRviruzGJRsSwRjWPvU0tzu_uKliejShQCLcBGAs/s72-c/noma.png
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/witness-adai-ameombwa-rushwa-ya-ngono.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/witness-adai-ameombwa-rushwa-ya-ngono.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy