Wiz Khalifa Na Mpenzi Wake Izabela Waachana, Yadaiwa Khalifa Bado Ana Mahusiano Na Ex wake

Msanii Wiz Khalifa na Izabela Guedes hawako tena pamoja baada ya kufuta wawili hao kufuta picha zote walizopostiana kwenye mitandao ya k...


Msanii Wiz Khalifa na Izabela Guedes hawako tena pamoja baada ya kufuta wawili hao kufuta picha zote walizopostiana kwenye mitandao ya kijamii na inasemekana kwamba Khalifa amekuwa akitembea na mwanamke mwingine ukiacha na Izabela.

Wiz Khalifa na Izabela Guedes ambao walianza kuwa pamoja mwaka 2016.


Sources ambazo zipo karibu na wawili hao zimewaambia MediaTakeOut.com kwamba Isabela ameachana na Wiz kwa sababu yeye bado anahisi Wiz anatoka na Ex wake wa zamani.
Watu wengi wanashaka kwamba Ex huyo akawa ni Amber Rose.


Rose kwa sasa ni mchumba wa rapa 21 Savage na wapenzi hao wanaenda kila mahali pamoja.


COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Wiz Khalifa Na Mpenzi Wake Izabela Waachana, Yadaiwa Khalifa Bado Ana Mahusiano Na Ex wake
Wiz Khalifa Na Mpenzi Wake Izabela Waachana, Yadaiwa Khalifa Bado Ana Mahusiano Na Ex wake
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCaamf3lm7EswFLekiCtJlvGkiWb6xeP-DaV691AWDVsViluPC8axSjnJ84iPQreVC3MA3Cw4GD9Ybn6Lm-j0BZZRSxPdu4PJNYgDHXUKd5yPasiuj_Xsbx4FwATINTBgahCTcqY-PaFpo/s640/lif+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCaamf3lm7EswFLekiCtJlvGkiWb6xeP-DaV691AWDVsViluPC8axSjnJ84iPQreVC3MA3Cw4GD9Ybn6Lm-j0BZZRSxPdu4PJNYgDHXUKd5yPasiuj_Xsbx4FwATINTBgahCTcqY-PaFpo/s72-c/lif+1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/wiz-khalifa-na-mpenzi-wake-izabela.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/wiz-khalifa-na-mpenzi-wake-izabela.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy