Z Anto Amshtukia Sajenti ‘Feki’ Aliyedai Katumwa Na RC Makonda Kuchukua Kiwanja Chao

Msanii wa muziki, Z Anto ambaye anadai ni mmoja kati ya wamiliki wa kiwanja cha baba yao ‘Mzee Mtundu’ kilichopo Kigamboni jijini Dar es...


Msanii wa muziki, Z Anto ambaye anadai ni mmoja kati ya wamiliki wa kiwanja cha baba yao ‘Mzee Mtundu’ kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam hatua chache baada ya kuvuka pantoni,

amefunguka kuwazungumzia watu walioibuka siku jana na kudai kiwanja hicho ni chao huku mmoja kati ya watu hao akienda mbali zaidi kwa kudai kwamba walitumwa kuchukua kiwanja hicho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Z Anto amedai kabla ya watu hao wa jana kudai kiwanja hicho ni chao, siku moja kabla ya siku hiyo kuna kijana mmoja ambaye alitambulisha kwa jina Sajenti Mohamed Ally alidaiwa kufika kwenye kiwanja hicho na kudai kwamba ametumwa kukichukua kiwanja hicho na RC Makonda.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Z Anto Amshtukia Sajenti ‘Feki’ Aliyedai Katumwa Na RC Makonda Kuchukua Kiwanja Chao
Z Anto Amshtukia Sajenti ‘Feki’ Aliyedai Katumwa Na RC Makonda Kuchukua Kiwanja Chao
https://2.bp.blogspot.com/-o9tjw-ZIxUI/WoKGF8d2g0I/AAAAAAAACCE/Hd9qsOAlT0Q_L5UdVCzJno3y6MneYYF_wCLcBGAs/s640/z-anto.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-o9tjw-ZIxUI/WoKGF8d2g0I/AAAAAAAACCE/Hd9qsOAlT0Q_L5UdVCzJno3y6MneYYF_wCLcBGAs/s72-c/z-anto.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/z-anto-amshtukia-sajenti-feki-aliyedai.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/z-anto-amshtukia-sajenti-feki-aliyedai.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy