Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo katika ziara yake ya siku ya pili katika mkoa wa Iringa yupo ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo katika ziara yake ya siku ya pili katika mkoa wa Iringa yupo katika wilaya ya Kilolo mkoani humo. Hata hivyo Makamu wa Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya siku nne ambapo jana aliwasili rasmi.
COMMENTS